Kutoka 15:13
Kutoka 15:13 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kwa fadhili zako kuu umewaongoza watu uliowakomboa, kwa nguvu yako umewaongoza kwenye makao yako matakatifu.
Shirikisha
Soma Kutoka 15Kutoka 15:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wewe kwa rehema zako umewaongoza watu uliowakomboa, Kwa uweza wako uliwaelekeza hata makao yako matakatifu.
Shirikisha
Soma Kutoka 15