Kutoka 14:21
Kutoka 14:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose akaunyosha mkono wake juu ya bahari, naye Mwenyezi-Mungu akaisukuma bahari nyuma kwa upepo mkali toka mashariki. Upepo huo ulivuma usiku kucha, ukaigawa bahari sehemu mbili na katikati kukatokeza nchi kavu.
Shirikisha
Soma Kutoka 14Kutoka 14:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa; akanyosha mkono wake juu ya bahari; BWANA akaifanya bahari irudi nyuma kwa upepo wa nguvu utokao mashariki, usiku kucha, akaifanya bahari kuwa nchi kavu, maji yakagawanyika.
Shirikisha
Soma Kutoka 14