Kutoka 11:9
Kutoka 11:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA akamwambia Musa, Farao hatawasikiza ninyi; kusudi ajabu zangu ziongezeke katika nchi ya Misri.
Shirikisha
Soma Kutoka 11Kutoka 11:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Farao hatakusikiliza, ili maajabu yangu yapate kuongezeka nchini Misri.”
Shirikisha
Soma Kutoka 11