Kutoka 11:1
Kutoka 11:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Bado kuna pigo moja nitakalomletea Farao na nchi ya Misri. Baadaye atawaacheni mwondoke hapa. Tena atakapowaacheni mwondoke, yeye mwenyewe atawafukuza mwondoke kabisa.
Shirikisha
Soma Kutoka 11Kutoka 11:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Musa, Liko pigo moja bado, nitakaloleta juu ya Farao na juu ya Misri; baadaye atawapa ninyi ruhusa mtoke huku; naye hapo atakapowapa ruhusa, atawafukuza mtoke huku kabisa kabisa.
Shirikisha
Soma Kutoka 11