Esta 5:3
Esta 5:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo mfalme akauliza, “Unataka nini Esta? Niambie unachotaka, nawe utapata – hata kama ni nusu ya ufalme wangu.”
Shirikisha
Soma Esta 5Esta 5:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mfalme akamwambia, malkia Esta, unataka nini? Nayo ni haja gani uliyo nayo? Utapewa hata nusu ya ufalme.
Shirikisha
Soma Esta 5