Waefeso 6:18
Waefeso 6:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Salini daima, mkiomba msaada wa Mungu. Salini kila wakati kwa nguvu ya Roho. Kesheni bila kuchoka mkisali kwa ajili ya watu wote wa Mungu.
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote
Shirikisha
Soma Waefeso 6