Waefeso 5:31-32
Waefeso 5:31-32 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.” Kuna ukweli uliofichika katika maneno haya, nami naona kwamba yamhusu Kristo na kanisa lake.
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:31-32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja. Siri hiyo ni kubwa; ila mimi nanena habari ya Kristo na kanisa.
Shirikisha
Soma Waefeso 5