Waefeso 5:3
Waefeso 5:3 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini uasherati, usitajwe miongoni mwenu, wala uchafu wa aina yoyote, wala tamaa, kwa sababu mambo haya hayastahili miongoni mwa watakatifu.
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa vile nyinyi ni watu wa Mungu, basi uasherati, uchafu wowote ule au choyo visitajwe kamwe miongoni mwenu.
Shirikisha
Soma Waefeso 5