Waefeso 5:2
Waefeso 5:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Upendo uongoze maisha yenu kama vile Kristo alivyotupenda, na kwa ajili yetu akajitoa mwenyewe kama tambiko yenye harufu nzuri na sadaka impendezayo Mungu.
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mkaende katika upendo, kama Kristo naye alivyowapenda ninyi tena akajitoa kwa ajili yetu, sadaka na dhabihu kwa Mungu, kuwa harufu ya manukato.
Shirikisha
Soma Waefeso 5