Waefeso 3:21
Waefeso 3:21 Biblia Habari Njema (BHN)
kwake Mungu uwe utukufu katika kanisa na katika Kristo Yesu, nyakati zote, milele na milele! Amina.
Shirikisha
Soma Waefeso 3Waefeso 3:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
naam, atukuzwe katika kanisa na katika Kristo Yesu hata vizazi vyote vya milele na milele. Amina.
Shirikisha
Soma Waefeso 3Waefeso 3:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
naam, atukuzwe katika Kanisa na katika Kristo Yesu hata vizazi vyote vya milele na milele. Amina.
Shirikisha
Soma Waefeso 3