Waefeso 3:17
Waefeso 3:17 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
ili kwamba, Kristo apate kukaa mioyoni mwenu kwa njia ya imani. Nami ninaomba kwamba ninyi mkiwa wenye mizizi tena imara katika msingi wa upendo
Shirikisha
Soma Waefeso 3Waefeso 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)
naye Kristo akae mioyoni mwenu kwa imani. Namwomba mpate kuwa na mzizi na msingi katika mapendo
Shirikisha
Soma Waefeso 3