Waefeso 2:9
Waefeso 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Wala halitokani na matendo yenu wenyewe, asije mtu akajivunia kitu.
Shirikisha
Soma Waefeso 2Waefeso 2:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.
Shirikisha
Soma Waefeso 2Waefeso 2:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.
Shirikisha
Soma Waefeso 2