Waefeso 2:8-9
Waefeso 2:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, kwa neema ya Mungu mmekombolewa kwa njia ya imani. Jambo hili si matokeo ya juhudi zenu, bali ni zawadi ya Mungu. Wala halitokani na matendo yenu wenyewe, asije mtu akajivunia kitu.
Shirikisha
Soma Waefeso 2Waefeso 2:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.
Shirikisha
Soma Waefeso 2Waefeso 2:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.
Shirikisha
Soma Waefeso 2