Waefeso 2:5
Waefeso 2:5 Biblia Habari Njema (BHN)
hata, ingawa tulikuwa tumekufa kwa sababu ya dhambi, alitufanya hai pamoja na Kristo. Kwa neema ya Mungu nyinyi mmeokolewa.
Shirikisha
Soma Waefeso 2Waefeso 2:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
hata wakati ule tulipokuwa wafu kwa sababu ya makosa yetu; alitufanya kuwa hai pamoja na Kristo; yaani, tumeokolewa kwa neema.
Shirikisha
Soma Waefeso 2