Waefeso 2:17
Waefeso 2:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Kristo alikuja akahubiri Habari Njema ya amani kwenu nyinyi watu wa mataifa mengine mliokuwa mbali na Mungu, na pia kwa Wayahudi ambao walikuwa karibu na Mungu.
Shirikisha
Soma Waefeso 2Waefeso 2:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaja akahubiri amani kwenu ninyi mliokuwa mbali, na amani kwao wale waliokuwa karibu.
Shirikisha
Soma Waefeso 2