Waefeso 2:14
Waefeso 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Kristo mwenyewe ametuletea amani kwa kuwafanya Wayahudi na watu wa mataifa mengine kuwa jamii moja. Kwa mwili wake yeye mwenyewe aliubomoa ule ukuta uliowatenganisha na kuwafanya maadui.
Shirikisha
Soma Waefeso 2Waefeso 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana yeye ndiye amani yetu, aliyetufanya sisi sote tuliokuwa wawili kuwa mmoja; akakibomoa kiambaza cha kati kilichotutenga.
Shirikisha
Soma Waefeso 2