Waefeso 2:13
Waefeso 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini sasa, kwa kuungana na Kristo Yesu, nyinyi ambao hapo awali mlikuwa mbali, mmekaribishwa kwa njia ya damu yake Kristo.
Shirikisha
Soma Waefeso 2Waefeso 2:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini sasa, katika Kristo Yesu, ninyi mliokuwa mbali hapo kwanza mmekuwa karibu kwa damu yake Kristo.
Shirikisha
Soma Waefeso 2