Waefeso 1:6
Waefeso 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, tumsifu Mungu kwa sababu ya neema yake tukufu ambayo ametujalia katika Mwanae mpenzi!
Shirikisha
Soma Waefeso 1Waefeso 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na usifiwe utukufu wa neema yake, ambayo ametuneemesha katika huyo Mpendwa.
Shirikisha
Soma Waefeso 1