Waefeso 1:5
Waefeso 1:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu alikuwa ameazimia tangu zamani kutuleta kwake kama watoto wake kwa njia ya Yesu Kristo. Ndivyo alivyopenda na kunuia.
Shirikisha
Soma Waefeso 1Waefeso 1:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo, kulingana na radhi ya mapenzi yake.
Shirikisha
Soma Waefeso 1