Waefeso 1:11
Waefeso 1:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika kuungana na Kristo, sisi tumerithishwa wokovu kama tulivyopangiwa kadiri ya azimio lake Mungu atekelezaye kila kitu kulingana na uamuzi na matakwa yake.
Shirikisha
Soma Waefeso 1Waefeso 1:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na ndani yake sisi nasi tulifanywa urithi, huku tukichaguliwa tangu awali sawasawa na kusudi lake yeye, ambaye hufanya mambo yote kwa shauri la mapenzi yake.
Shirikisha
Soma Waefeso 1