Mhubiri 9:4
Mhubiri 9:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini anayeambatana na walio hai analo bado tumaini, afadhali mbwa hai kuliko simba mfu.
Shirikisha
Soma Mhubiri 9Mhubiri 9:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa liko tumaini kwa yule aliyeambatana na wote walio hai; maana ni afadhali mbwa aliye hai kuliko simba aliyekufa
Shirikisha
Soma Mhubiri 9