Mhubiri 8:12
Mhubiri 8:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Wenye dhambi hutenda maovu mara mia, hata hivyo, huendelea kuishi. Walakini, mimi najua kwamba itakuwa heri kwao wamchao Mungu, kwa sababu ya uchaji wao
Shirikisha
Soma Mhubiri 8Mhubiri 8:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ijapokuwa mwenye dhambi amefanya maovu mara mia na akazidisha siku zake; lakini hata hivyo najua hakika ya kwamba itakuwa heri kwao wamchao Mungu, wenye kicho mbele zake
Shirikisha
Soma Mhubiri 8