Mhubiri 7:16
Mhubiri 7:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, usiwe mwadilifu sana, wala usiwe mwenye hekima mno! Ya nini kujiangamiza wewe mwenyewe?
Shirikisha
Soma Mhubiri 7Mhubiri 7:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiwe na haki kupita kiasi; Wala usijiongezee hekima mno; Kwa nini kujiangamiza mwenyewe?
Shirikisha
Soma Mhubiri 7