Mhubiri 6:9
Mhubiri 6:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Hayo nayo ni bure kabisa; ni sawa na kufukuza upepo. Afadhali kuridhika na ulicho nacho kuliko kuhangaika kwa kutamani kitu kingine.
Shirikisha
Soma Mhubiri 6Mhubiri 6:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri kuona kwa macho, Kuliko kutangatanga kwa tamaa. Hayo nayo ni ubatili, na kufukuza upepo.
Shirikisha
Soma Mhubiri 6