Mhubiri 6:12
Mhubiri 6:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Nani ajuaye yamfaayo mtu katika maisha haya mafupi yasiyo na faida, maisha ambayo hupita kama kivuli? Nani duniani ajuaye yatakayompata mtu baada ya kufa?
Shirikisha
Soma Mhubiri 6Mhubiri 6:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana ni nani ajuaye yaliyo mema ya mwanadamu katika maisha yake, siku zote za maisha yake ya ubatili, anayoishi kama kivuli? Kwa maana ni nani awezaye kumweleza mwanadamu mambo yatakayofuata baada yake chini ya jua?
Shirikisha
Soma Mhubiri 6Mhubiri 6:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Mhubiri 6