Mhubiri 5:4
Mhubiri 5:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Ukimwekea Mungu nadhiri, usikawie kuitimiza; na Mungu hapendezwi na wapumbavu. Tekeleza ulichoahidi.
Shirikisha
Soma Mhubiri 5Mhubiri 5:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wewe ukimwekea Mungu nadhiri, usikawie kuiondoa; kwa kuwa yeye hawi radhi na wapumbavu; basi, uiondoe hiyo uliyoiweka nadhiri.
Shirikisha
Soma Mhubiri 5