Mhubiri 5:12
Mhubiri 5:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Usingizi wa kibarua ni mtamu, awe ameshiba au amekula kidogo tu. Lakini usingizi wa tajiri ni wa wasiwasi daima, maana ziada ya mali yake humsumbua usiku kucha.
Shirikisha
Soma Mhubiri 5Mhubiri 5:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usingizi wake kibarua ni mtamu, awe amekula kidogo, au awe amekula kingi; lakini kushiba kwake tajiri hakumwachi kulala usingizi.
Shirikisha
Soma Mhubiri 5