Kumbukumbu la Sheria 6:7
Kumbukumbu la Sheria 6:7 Biblia Habari Njema (BHN)
na kuwafundisha kwa uangalifu watoto wenu. Mtawasimulia muwapo mnakaa nyumbani au mlipo safarini au mnapolala au mnapoamka.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6Kumbukumbu la Sheria 6:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyasema uishipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6