Kumbukumbu la Sheria 6:5
Kumbukumbu la Sheria 6:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpendeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa moyo wenu wote, kwa roho yenu yote na kwa nguvu zenu zote.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6Kumbukumbu la Sheria 6:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe mpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6Kumbukumbu la Sheria 6:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nawe mpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6