Kumbukumbu la Sheria 6:13
Kumbukumbu la Sheria 6:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtamcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mtamtumikia yeye peke yake na kuapa kwa jina lake peke yake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6Kumbukumbu la Sheria 6:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mche BWANA, Mungu wako; ndiye utakayemtumikia, na kuapa kwa jina lake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6