Kumbukumbu la Sheria 5:16
Kumbukumbu la Sheria 5:16 Biblia Habari Njema (BHN)
“ ‘Waheshimu baba yako na mama yako, kama vile mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako nilivyokuamuru; fanya hivyo ili uishi siku nyingi na kufanikiwa katika nchi ambayo ninakupatia.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 5Kumbukumbu la Sheria 5:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Waheshimu baba yako na mama yako; kama BWANA, Mungu wako, alivyokuamuru, siku zako zipate kuzidi, nawe upate kufanikiwa katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 5