Kumbukumbu la Sheria 33:8
Kumbukumbu la Sheria 33:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Juu ya kabila la Lawi, alisema: “Ee Mwenyezi-Mungu ulipatie Lawi kauli yako ya Urimu, kauli yako ya thumimu kwa hao waaminifu wako, ambao uliwajaribu huko Masa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33Kumbukumbu la Sheria 33:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamnena Lawi, Thumimu yako na Urimu yako vina mtakatifu wako, Uliyemjaribu huko Masa; Ukateta naye kwenye maji ya Meriba.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33