Kumbukumbu la Sheria 33:3
Kumbukumbu la Sheria 33:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu aliwapenda watu wake; na huwalinda watakatifu wake wote. Hivyo, malaika wake walifuata nyayo zake, na kupata maagizo kutoka kwake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33Kumbukumbu la Sheria 33:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hakika awapenda hayo makabila ya watu; Watakatifu wake wote wamo mkononi mwako; Nao waliketi miguuni pako; Watapokea kila mmoja katika maneno yako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33