Kumbukumbu la Sheria 33:27
Kumbukumbu la Sheria 33:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu wa milele ndiye kimbilio lenu; nguvu yake yaonekana duniani. Aliwafukuza maadui mbele yenu; aliwaamuru: ‘Waangamizeni.’
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33Kumbukumbu la Sheria 33:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu wa milele ndiye makazi yako, Na mikono ya milele i chini yako. Na mbele yako amemsukumia mbali adui; Akasema, Angamiza.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33