Kumbukumbu la Sheria 33:25
Kumbukumbu la Sheria 33:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Miji yako ni ngome za chuma na shaba. Usalama wako utadumu maisha yako yote!”
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33Kumbukumbu la Sheria 33:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Makomeo yako yatakuwa ya chuma na shaba; Na kadiri ya siku zako ndivyo zitakavyokuwa nguvu zako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33