Kumbukumbu la Sheria 30:6
Kumbukumbu la Sheria 30:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawafanyeni nyinyi na wazawa wenu muwe na moyo wa utii ili mumpende yeye kwa moyo wenu wote na roho yenu yote, mpate kuishi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 30Kumbukumbu la Sheria 30:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA, Mungu wako, atautahiri moyo wako, na moyo wa uzao wako, ili umpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, upate kuwa hai.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 30