Kumbukumbu la Sheria 29:9
Kumbukumbu la Sheria 29:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo muwe waangalifu kushika maneno yote ya agano hili ili mpate kufanikiwa katika kazi zenu zote.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 29Kumbukumbu la Sheria 29:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Shikeni basi maneno ya agano hili myafanye, ili mfanikiwe katika yote mfanyayo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 29