Kumbukumbu la Sheria 28:9
Kumbukumbu la Sheria 28:9 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mwenyezi-Mungu atawafanyeni kuwa watu wake watakatifu kama alivyowaahidi, kama mkizitii amri zake yeye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kufuata njia zake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA atakuweka uwe taifa takatifu kwake, kama alivyokuapia; utakaposhika maagizo ya BWANA, Mungu wako, na kutembea katika njia zake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28