Kumbukumbu la Sheria 28:4
Kumbukumbu la Sheria 28:4 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mtabarikiwa mpate wazawa wengi, mavuno mengi, ng'ombe na kondoo wengi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, kuongezeka kwa ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo wako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28