Kumbukumbu la Sheria 28:15
Kumbukumbu la Sheria 28:15 Biblia Habari Njema (BHN)
“Lakini kama hamtaitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, au msipokuwa waangalifu kutekeleza amri zake zote na masharti ninayowaamuru leo, basi mtapatwa na laana hizi zote
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya BWANA, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya BWANA, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28