Kumbukumbu la Sheria 28:11
Kumbukumbu la Sheria 28:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu atawafanikisha kwa wingi: Watoto, mifugo na mavuno shambani katika nchi aliyowaapia wazee wenu kuwa atawapeni
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA atakufanya uwe na wingi wa uheri, katika uzao wa tumbo lako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, na uzao wa nchi yako, katika nchi BWANA aliyowaapia baba zako kwamba atakupa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28