Kumbukumbu la Sheria 26:19
Kumbukumbu la Sheria 26:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Atawafanyieni nyinyi kuwa taifa kubwa kuliko mataifa yote aliyoyaumba. Nanyi mtalitetea jina lake, sifa yake na heshima yake. Nyinyi mtakuwa watu wake, walio mali yake, kama alivyoahidi.”
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 26Kumbukumbu la Sheria 26:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na kuwa atakutukuza juu ya mataifa yote aliyoyafanya, kwa sifa, na jina, na heshima, nawe upate kuwa taifa takatifu kwa BWANA, Mungu wako, kama alivyosema.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 26