Kumbukumbu la Sheria 24:5
Kumbukumbu la Sheria 24:5 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mwanamume aliyeoa karibuni asiende vitani wala asipewe kazi yoyote nyingine; aachwe huru kwa muda wa mwaka mmoja, ili akae nyumbani na kufurahi na mkewe.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 24Kumbukumbu la Sheria 24:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu atwaapo mke mpya, asiende vitani pamoja na jeshi, wala asipewe shughuli juu yake yoyote; akae faragha mwaka mmoja nyumbani mwake, apate mfurahisha mkewe aliyemtwaa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 24