Kumbukumbu la Sheria 24:20
Kumbukumbu la Sheria 24:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Mkipukutisha mizeituni yenu kuvuna matunda, msirudi kupukutisha tena vitawi vyake, ila waachieni wageni, yatima na wajane.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 24Kumbukumbu la Sheria 24:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utakapochuma matunda ya mizeituni yako, usirudi kuchuma mara ya pili; yaliyobaki apewe mgeni, na yatima, na mjane.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 24