Kumbukumbu la Sheria 24:19
Kumbukumbu la Sheria 24:19 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mnapovuna mavuno yenu shambani na kusahau masuke mengine humo, msirudi kuyachukua, ila waachieni wageni, yatima na wajane, ili Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu awabariki katika kazi zenu zote.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 24Kumbukumbu la Sheria 24:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uvunapo mavuno yako katika shamba lako, ukasahau mganda shambani, usirudi kuuchukua; na uwe wa mgeni, au yatima, au mjane; ili BWANA, Mungu wako, akubariki katika kazi yote ya mikono yako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 24Kumbukumbu la Sheria 24:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Uvunapo mavuno yako katika shamba lako, ukasahau mganda shambani, usirudi kuuchukua; na uwe wa mgeni, au yatima, au mjane; ili BWANA, Mungu wako, akubariki katika kazi yote ya mikono yako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 24