Kumbukumbu la Sheria 24:16
Kumbukumbu la Sheria 24:16 Biblia Habari Njema (BHN)
“Wazazi wasiuawe kwa makosa ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya makosa ya wazazi wao. Kila mtu atauawa kwa makosa yake mwenyewe.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 24Kumbukumbu la Sheria 24:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 24