Kumbukumbu la Sheria 23:21
Kumbukumbu la Sheria 23:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Unapoweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, usichelewe kuitekeleza, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wako ataidai kwako, nawe utakuwa na kosa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 23Kumbukumbu la Sheria 23:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utakapoweka nadhiri kwa BWANA, Mungu wako, usiwe mlegevu katika kuiondoa; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, hataacha kuitaka kwako; nayo hivi itakuwa dhambi kwako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 23