Kumbukumbu la Sheria 22:5
Kumbukumbu la Sheria 22:5 Biblia Habari Njema (BHN)
“Wanawake wasivae nguo za wanaume, na wanaume wasivae nguo za wanawake. Anayefanya hivyo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 22Kumbukumbu la Sheria 22:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 22