Kumbukumbu la Sheria 18:12
Kumbukumbu la Sheria 18:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana yeyote atendaye mambo haya ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu; na kwa ajili ya mambo haya ya kuchukiza, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawafukuza watu wa namna hiyo mbele yenu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 18Kumbukumbu la Sheria 18:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mtu atendaye hayo ni chukizo kwa BWANA; kisha ni kwa sababu ya hayo BWANA, Mungu wako, anawafukuza mbele yako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 18