Kumbukumbu la Sheria 14:2
Kumbukumbu la Sheria 14:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa u taifa takatifu kwa BWANA, Mungu wako, na BWANA amekuchagua kuwa watu wake hasa, kuliko mataifa yote yaliyo juu ya uso wa nchi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 14Kumbukumbu la Sheria 14:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi ni watu watakatifu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; Mwenyezi-Mungu amewachagua muwe watu wake hasa, kati ya watu wote waishio duniani.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 14